S2 KISWAHILI
NGELI YA JI-MA- (MA-)
Ngeli hii husimamia nomino zenye miundo mbalimbali. Majina mengi huanza kwa ji- au j kwa umoja na
hubadilishwa kuanza na MA- au ME- kwa wingi. Ni muhimu kujua kwamba kuna majina mengine yanayo
anza na sauti mbalimbali kwa umoja na yakibadilishwa yanaanza na MA- kwa wingi. (Nouns in this class
begin with different sounds when they are in singular form but when they are changed to plural form
they begin with sound MA-)
MIFANO YA NOMINO (EXAMPLES OF NOUNS)
UMOJA (SINGULAR) WINGI (PLURAL)
KISWAHILI ENGLISH
Somo lesson Masomo
Jina A name Majina
Kosa A fault Makosa
Ua A flower Maua
Wazo Thought Mawazo
Jani A leaf Majani
Zoezi An exercise Mazoezi
Tofali A brick Matofali
Badiliko A change Mabadiliko
Bati An ion sheet Mabati
Bega A shoulder Mabega
Titi A breast Matiti
Bonde A valley Mabonde
Suali A question Masuali
Tendo An act Matendo
Yai An egg Mayai
Goti A knee Magoti
Taifa A nation Mataifa
ZOEZI (EXERCISE)
1. Badilisha majina yafuatayo kutoka kwa umoja na uyaweke katika wingi.(change the names
bellow from singular form to plural form).
a. Kabila (a tribe)
b. Deni (a debt)
c. Neno (a word)
d. Tatizo (a challenge)
e. Gazeti (a newspaper)
f. Gari (a car)
g. Kanisa (a church)
h. Tunda (a fruit)
i. Skio (an ear)
j. Tokeo (a result)
k. Vazi (a garment)
l. Tusi (an abuse)
m. Ini (a liver)
MWISHO