Kwa ajili yako mimi naishi (Because of you I’m alive)
Pasipo wewe singekuwepo (Without you I would not be here)
Mimi ni kazi ya mikono yako (I am the work of your hands)
Baba ninaona nikuabudu (Father I prefer to worship you)
Maana matendo yako ni mengi sana (Because your works are many)
Ishara zako Baba ni nyingi mno (Your signs are many)
Maana wewe ndiye Mungu wangu (Because you are my God)
Uliniumba niseme matendo yako (You created me to tell of your actions)
Wewe ndiwe Mungu wa miungu (You are the God of gods)
Wewe kimbilio letu na ngome yet (You are our fortress and help)
Hakuna aliye kama wewe (There is no one like you)
Maneno ya kusema yananikosa ( I am lost for words)
Maana matendo yako ni ya ajabu (Because your works are wondergul)
Maana ishara zako ni nyingi (Because your signs are many)
Kwa macho nimeona makuu yako (With my eyes I have seen your greatbess)
Masikio nimesikia matendo yako (My ears have heard your works)
Ndio maana nimetambua (That is why I know)
Ya kwamba niliumbwa nikuabudu (That I was created to worship you)
Mungu wa milele (Everlasting God)
(Chorus)
Umbali tumetoka, na mahali tumefika Ndio maana ninatambua, kwamba wewe ni Ebenezer
Sio kwa uwezo wangu, ila ni kwa uwezo wako Mahali nimefika, acha nikushukuru
Eeh Bwana umenisaidia, nifike mahali nimefika Bwana wewe ni Ebenezer, maishani mwangu
Oo Ninataka Ebenezer, nijenge juu yako
Ninataka Ebenezer, uwe msingi wangu
Jiwe langu la pembeni, nakutamani sana
Jiwe langu la thamani, nakuhitaji sana
Oo Ebenezer, jiwe langu
Ninataka maisha yangu, yajengwe juu yako
Ninataka ndoa yangu, ijengwe juu yako baba.
Ndoa zilizojengwa juu yako yahwe, hazivunjiki kamwe
Nyumba zilizojengwa juu yako yahweh hazivunjiki kamwe
Ninataka uimbaji wangu baba, ujengwe juu yako
Maana wewe ni sauti yangu, wewe ni uzima wangu
Ninataka Ebenezer, nijenge juu yako
Ninataka Ebenezer, uwe msingi yangu
Jiwe langu la pembeni, nakutamani sana Jiwe langu la thamani, nakuhitaji sana
Oo Ebenezer, jiwe langu Ebenezer na ngai Libanga na ngai ya talo Oleki...
Kati na bomoi na ngai Nzambe, nakumisi Yo Moko te akokani na Yo Esika nakomi lelo Yawe
Ezali...
Ninataka Ebenezer, nijenge juu yako Ninataka Ebenezer, uwe msingi yangu Jiwe langu la
pembeni, nakutamani sana Jiwe langu la thamani, nakuhitaji sana Oo Ebenezer, jiwe langu
Ebenezer ni jiwe langu, jiwe langu la msingi Mahali nimefika leo, Ni kwa ajili yako Ebenezer
Mawe mengi yako hapa chini ya jua kuna dhahabu, kuna almasi Kuna mawe hata sijui majina
yake Lakini hakutawahi kuwa jiwe kama Ebenezer