2.
Kina mama simameni piga vigelegele
Na kina baba nyanyuka mkapige makofi
NOTES:
3. Watu wote nesanesa chezeni kwa
furaha
11TH JUNE, 2023
Inua mikono juu mshangilieni Bwana
ENTRANCE 2. Tunakushukuru Mungu kwa ajili - ya
YUMO HUMU utukufu wako; Mkuu ee Bwana ni
4. Watawa washangilie makasisi waimbe Mungu ndiwe
1. Yumo humu , mwokozi Yesu kwenye
Walei warukeruke waseme aleluya zabibu na ngano tamu; ni mpole ni Mfalme wa mbinguni.
mwema ni mzima
3. Ee Baba Mwenyezi Bwana Yesu Kristu
5. Vitambaa mikononi vipeperushwe juu - Ee Mwana wa pekee, Ee Mungu
Waumini simameni , pole pole kwa
Na vichwa viyumbeyumbe kwa mwendo maringo ; jongeeni karamuni hii Mwana kondoo wa Mungu mwana wa-
wa kuringa mpate kumwonja Mwokozi Yesu ke Baba.
2. Ekaristi ni jina lake, pamoja nasi 4. Mwenye kuondoa dhambi za dunia –
6. Nitakushukuru mimi na nyumba yangu Mungu mwenyewe ndani yetu nasi ndani Utuhurumie, tuhurumie maombi yetu
yote yake Bwana uyapokee.
Nitayatangaza haya , maisha yangu yote 5. Mwenye kuketi kuume kwa Baba -
3. Alitoa , jioni ile kwa kumbukumbu,
lake milele ; tule tunywe wote tuokoke Utuhurumie kwa kuwa ndiwe pekee
yako ni Mtakatifu.
EXIT 4. Tugeuze , maisha yetu yakafanane
HAIL, HOLY QUEEN ENTHRONED na meza hii huruma upendo na 6. Pekee yako Bwana pekee yako mkuu -
msamaha Ewe Yesu Kristu, pamoja naye Roho
ABOVE Mtakatifu milele yote.
1.Hail, holy Queen enthroned above, O CENTENARY MASS
María. Hail, Queen of mercy and of BWANA TUHURUMIE BIBLE PROCESSION
love, O María. Utuhurumie ee Bwana ee, e Bwana, e NENO LA BWANA (KAWAA)
Bwana; Utuhurumie ee Bwana ee, e 1. Neno la Bwana laleta uzima – neno la
Bwana tuhurumie; Utuhurumie ee Bwana lakuja tulipokee
Triumph, all ye Cherubim; Sing with us, Bwana ee, e Bwana e Bwana; Neno la Bwana mwanga wetu sote --
ye Seraphim. Heav’n and earth resound Utuhurumie ee Bwana ee, e Bwana neno la Bwana lakuja tulipokee
tuhurumie.
the hymn: Salve, Salve, Salve, Regína. Lapanda milimani , lashuka mabondeni
Ee Kristu tuhurumie, tuhurumie utuhu- (neno)
2. Our life our sweetness here below, rumie ee; E Kristu tuhurumie, e Kristu laenea pande zote neno lasonga mbele
tuhurumie x2 x2
O María. Our hope in sorrow and in Utuhurumie ee Bwana....
woe , O María. 2. Neno lapenya lafikia mioyo – neno la
UTUKUFU Bwana latubadilisha mioyo
1. Utukufu kwa Mungu juu mbinguni - Tulipokee tutafaidika – neno la Bwana
3. And when our life-breath leaves us , Na amani iwe kwa watu wenye ma- linao uzima tele
O Maria! Show us thy Son Jesus , O penzi
Maria ! mema duniani kote; 3. Neno la Bwana ni nguzo kwa wote –
walishikao daima watafurahi
Tunakusifu - tunakusifu Tutajulishwa Mungu asemavyo – tu-
tunakuheshimu, tunakuabudu tuna- kiyashika sisi wana wake kweli
kutukuza x2.
THE NICENE CREED OFFERTORY MTAKATIFU .Refrain:
TUTOE SADAKA S: Mtakatifu x2 This is my story, this is my song,
I believe in one God, the Father Bass: Tutoe sadaka All: Mtakatifu Bwana Mungu praising my Savior, all the day long;
almighty, maker of heaven and All: Kwa Mungu Baba aliyeumba T: Mtakatifu x2 this is my story, this is my song,
ulimwengu mzima x2; All: Mtakatifu Bwana Mungu wa praising my Savior all the day long.
earth , of all things visible and majeshi x2
Tukumbuke kwamba, ndiye aliyetupa
invisible. And in one Lord Jesus uzima tutoe sadaka x2 S/A: Mbingu na dunia zimejaa 2 Perfect submission, perfect delight,
Christ, the only-begotten Son of God, utukufu; visions of rapture now burst on my
1. Tutoe kwa moyo mwema, tukampe T/B: Mbingu na dunia aa; mbingu na sight;
born of the Father before all ages, dunia, angels descending, bring from above
Bwana, na kwa ukarimu mwema, tu-
God from God, Light from Light, true toe kwa moyo. All: Mbingu na dunia (zimejaa utukufu echoes of mercy, whispers of love.
God from true God, begotten, not wako) x2 [Refrain]
2. Nazo fedha zako nenda, ukampe [Hosana juu x3 Hosana juu mbinguni]
made, consubstantial with the Father, x2 3 Perfect submission, all is at rest,
Bwana, ndugu usisite nenda, ukampe
through Him all things were made: for Bwana. I in my Savior am happy and blest,
us men and for our salvation He came S/A: Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina watching and waiting, looking above,
3. Chochote ulicho nacho, ndugu ukatoe, T/B: Mbarikiwa yeye ee, mbarikiwa filled with his goodness, lost in his love.
down from heaven, yeye, [Refrain]
yeye ni muumba wetu, ndugu ukatoe.
And by the Holy Spirit Was incarnate
of the virgin Mary, and became man: All: Mbarikiwa yeye (ajaye kwa jina la PRAYER AFTER COMMUNION
Bwana) x2. Soul of Christ , sanctify me
for our sake , was crucified under Pon- OFFERTORY PROCESSION Body of Christ save me
VIPAJI VYETU Hosanna ...... Blood of Christ run through my veins
tius Pilate, He suffered death and 1. Tunakuja na vipaji vyetu mbele zako
was buried: and rose again on the third Wáter from the side of Christ wash me
ee Bwana FUMBO LA IMANI Passion of Christ strengthen me
day in accordance with the Scriptures, tunatoa shukrani zetu kwako Baba S: Yesu Kristu alikufa O Good Jesus hear me
Muumba x2 All: Yesu Kristu alikufa Within your wounds hide me
He ascended into heaven, and is seat-
ed at the right hand of the Father: He T: Yesu Kristu alifufuka At the hour of death call me
tunaleta mkate, Bwana Mungu pokea All:Yesu Kristu atakuja kwetu And bid me come to thee
will come again in glory to judge the tunaleta divai , Bwana Mungu pokea tena x2. That with your saints I may praise thee
mavuno nazo fedha , twakuomba Mkate wetu wa kila siku… For all eternity ,
living and the dead, and His kingdom upokee x2
will have no end. I believe in the Holy
MWANAKONDOO AMEN
Spirit, the Lord , the Giver of life, 2. Ni matunda ya mashamba yetu uliyo- Ee Mwana kondoo wa Mungu uondoaye
tujaalia
Who proceeds from the Father and Ndilo jasho letu sisi Bwana , twakuomba
dhambi za dunia ee, Ee Mwana tuhuru- THANKS-GIVING
the Son: Who with the Father and mie; Mwana kondoo wa Mungu ee, Ee NIMEONJA PENDO LAKO
pokea x2 Mwana tuhurumie x2 1. Nimeonja pendo lako nimejua u mwe-
the Son is adored and glorified: Who ma
3. Watumishi wako tunakuja na zawadi Mwana kondoo wa Mungu ee, amani
spoke through the prophets. kidogo nitakushukuru nitawainua wote waku-
I believe in one , holy, Catholic, and utujalie, mwenye kuondoa dhambi zetu sifu wewe
Twakusihi sana Mungu Baba , pokea mi- ee, amani utujalie, utujalie amani ee,
kononi x2 Nitawaongoza vyema waimbe kwa furaha
apostolic Church. amani utujalie, utujalie amani ee, amani –
I confess one baptism for the for- utujalie. nitakushukuru nitawainua wote waku-
4. Nafsi zetu zote mali yako utupokee
giveness of sins, and I look forward to sisi sifu wewe
the resurrection of the dead and life Ee Bwana utujaalie afya uzima na
baraka x2 COMMUNION Ukarimu wako Bwana , na huruma
of the world to come. BLESSED ASSURANCE yako wewe
1 Blessed assurance, Jesus is mine! Msamaha wako Bwana , na upole wako
Amen. O what a foretaste of glory divine! wewe
Heir of salvation, purchase of God, Umenitendea wema usiopimika
born of his Spirit, washed in his blood nitakushukuru nitawainua wote waku-
sifu wewe