0% found this document useful (0 votes)
34 views4 pages

Facebook 1728797680079

pambano kuu

Uploaded by

Bwire Jandwa
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd
0% found this document useful (0 votes)
34 views4 pages

Facebook 1728797680079

pambano kuu

Uploaded by

Bwire Jandwa
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd
You are on page 1/ 4

󰟙 Chapisho la Tucasa LGTI

󱡓 󱤙

Picha
Tucasa LGTI 󰟝
20 Okt 2017󰞋󱟡
ya
Pambano Kuu
3/Giza la Kiroho Katika
Kanisa la Kwanza
Mtume Paulo aeleza kwamba
siku ya Kristo haitakuja
“Usipokuja kwanza ule
ukengeufu, akafunuliwa yule
mtu wa kuasi, mwana wa
uharibifu; yule mpingamizi,
ajiinuaye nafsi yake juu ya kila
kiitwacho Mungu ama kuabudiwa;
hata yeye mwenyewe kuketi
katika hekalu la Mungu,
akijionyesha nafsi yake kana
kwamba yeye ndiye Mungu.
Maana ile siri ya kuasi hivi sasa
inatenda kazi”. 2Wathesalonike
2:3,4-7. Hivyo hata siku hizo za
mwanzoni mtume aliona uovu
ukilitambalia kanisa ambao
utaingiza upapa ndani. {TU 14.1}
Kidogo kidogo, “siri ya kuasi”
iliendesha kazi yake ya
udanganyifu. Kawaida za
kimizimu ziliingizwa kanisani na
kukubaliwa kuwa nia sawa,
ingawa zilipingwa kwanza na
kuleta mateso kwa njia ya
wamizimu. Lakini mateso
yalipokoma hali ya kanisa
ilibadilika na kuacha kanuni halisi
ya kikristo. Hali hiyo iliongozwa
na mapapa na mapadri. Uongofu
bandia wa mfalme Constatine
ulileta burudiko kubwa kanisani.
Kwa hiyo sasa uharibifu ulizidi
mno kanisani. Ukafiri ulishinda
kabisa na kutawala kanisani.
Kawaida za kikafiri na
mafundisho ya ushirikina
viliingizwa kanisani na
kuhesabiwa kuwa ni mojawapo ya
kanuni za Kikristo. {TU 14.2}
󰘋 Andika maoni... 󰝖󰢉󰙏
Mapatano haya baina ya
ukafiri na ukristo yalitokeza “mtu
󰟙
wa dhambi”, Chapisho la Tucasa
aliyetabiriwa LGTI
katika
󱤙
Biblia. Dini ya uongo ni hila za
Shetani, na juhudi yake ni kuketi
katika kiti cha enzi apate
kuutawala ulimwengu kama
apendavyo. {TU 14.3}
Mojawapo ya mafundisho ya
kanisa la Kiroma ni kwamba papa
amepewa uwezo mkuu awe juu
ya makasisi wote na wachungaji
wote wa ulimwengu. Zaidi ya
hayo, papa amepewa heshima ya
kuitwa “Bwana Mungu Papa” na
kwamba yeye hakosei hata
kidogo. Dai lile lililodaiwa na
shetani huko jangwani wakati wa
majaribu ya Yesu lingali
linaendelea katika kanisa la
Kirumi; na watu wengi
humtukuza jinsi hiyo. {TU 14.4}
Lakini wanaomcha Mungu
huyapinga majivuno hayo kama
Kristo alivyoyapinga ya mwovu
shetani jangwani. “Msujudie
Bwana Mungu wako, umwabudu
yeye peke yake” Luka 4:8.
Kamwe Mungu hakumweka mtu
ye yote kuwa kichwa cha kanisa.
Ukuu wa upapa unapingwa na
Maandiko Matakatifu. Papa
hawezi kuwa kichwa cha kanisa la
Kristo isipokuwa ajitwalie
mamlaka hayo kwa nguvu.
Warumi hawalaumu
waprotestanti, na kusema
kwamba wamejitenga na kanisa
la kweli. Lakini wao ndio
waliojitenga na Imani “ambayo
kwanza ilikabidhiwa kwa
watakatifu” Yuda 3. {TU 14.5}
Shetani alifahamu fika kuwa
Mwokozi aliyapinga majaribu yake
kwa njia ya Maandiko Matakatifu.
Kila jaribu la shetani Mwokozi
alilipinga kwa ngao ya kweli,
akisema “Imeandikwa”. Ili kusudi
shetani awashinde watu, na
󰘋 AndikaMaandiko
wasifahamu maoni... Mataktifu. 󰝖󰢉󰙏
Ukweli Mtakatifu lazima ufichwe
󰟙
usifahamike.Chapisho la Tucasa
Kwa muda wa LGTI
󱤙
miaka mamia Biblia ilikatazwa
kusomwa kabisa na kanisa la
Kirumi. Watu waliruhusiwa
kusoma na kueleza maana yake,
ili kufaulisha mpango wao. Kwa
njia hiyo Papa alitukuzwa kabisa
ulimwenguni kama kaimu wa
Mungu duniani. {TU 15.1}
Home / EGW Writings
/Maelezo
Pambano Kuuhayapo.
ya picha

󰍸8 󰍹4 󰍺

Muhimu zaidi 󰙹

Yusuph Chengula
Amina

Miaka 2 Penda Jibu

Hezron Chipembe
Mungu atusaidie

Miaka 2 Penda Jibu

󰘋 Joycemaoni...
Andika Ignas 󰝖󰢉󰙏
Ameeeen!!!!! BT MUNGU katuhaid
baada ya pambano kuu litakuja
󰟙 Chapisho
TUMAINI la Tucasa LGTI
kuu
󱤙

Miaka 7 Penda Jibu

Angel Juma
Amina

Miaka 6 Penda Jibu


Muhimu Zaidi imeteuliwa, kwa hivyo baadhi ya maoni
yanaweza kuwa yamechujwa.

󰘋 Andika maoni... 󰝖󰢉󰙏

You might also like