MTIHANI WA MAANDALIZI YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI
SOMO LA SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA DARASA LA NNE (IV) – SETI NO.
22 – 2022
JINA ……….………………………………….…………….……….. MKONDO
………………..
1. CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI KISHA ANDIKA HERUFI
i) Kuna aina ……………………za maada A: mbili B: Tatu C: Zote [ ]
ii) Chanzo cha nishati ya mwanga ni ……… A: Pasi B: Kurunzi C: Birika [ ]
iii) Yupi ni mdudu hatari kati ya hawa wafuatao ? A: Panzi B: Kumbikumbi C: Nyuki [ ]
iv) Kipi ni chakula cha wanga kati ya hivi? A: Maziwa B: Samaki C: Ugali [ ]
v) Chanzo vha vitamin ni pamoja na ……….. A: Chapati B: Nyama C: Embe [ ]
vi) Kiungo cha mwili kianchotumika kuonja ni ……… A: Macho B: Pua C: Ulimi [ ]
vii) Jumla ya vitu vyote vinavyotuzunguka ni …….. A: majani B: Ardhi C: Mazingira [ ]
viii) Viumbe hai huongezeka idadi kwa njia ya ………A: Kulia B: Kuzaliana C: Kujongea [ ]
ix) Kitu chochote chenye uzito kinachochukua nafasi ni …..
A: Nishati B: Maada C: Barafu [ ]
x) Njia za mawasaliano zimegawanyika katika sehemu kuu ……………….
A: tatu B: mbili C: sita [ ]
2. JAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI
i) Kuna aina ………………………………..za simu
ii) Utumbo wa binadamu umegawanyika katika sehemu kuu ………………………………………
iii) Kipimo rasmi kinachotumika kupima uzito ni ……………………………….………………………
iv) Samaki ni chakula kilichopo kwenye kundi gani? …………………………………………………
v) Mlo kamili umeundwa na makundi ……………………………….. ya vyakula
3. LINGANISHA KIFUNGU A NA B ILI KUPATA MAANA
FUNGU A FUNGU B
i) Vyakula vya protini [ ] A: Nyoka na nge
ii) Nguvu inayotuwezesha kufanya kazi [ ] B: Matembele, Machungwa
iii) Baadhi ya wadudu wenye sumu [ ] C: Samaki, nyama, Mayai
iv) Vyakula vya Vitamini [ ] D: Spana, cherehani, nyundo
v) Vifaa ya kurahisishia kazi [ ] E: Nishati
4. ANDIKA "NDIYO" AU "HAPANA"
i) Chanzo cha nishati ya mwanga ni jua …………………………………………..
ii) Kuna makundi matano ya vyakula vinavyounda mlo kamili …………………………………..
iii) Saa ni chombo maalumu kinachoonyesha muda ……………………………………..
iv) Kuna aina tatu za vipimo …………………………………………….
v) Sauti iliyoakisiwa huitwa ngurumo …………………………………….
MTIHANI WA MAANDALIZI YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI
SOMO LA URAIA NA MAADILI KWA DARASA LA NNE (IV) – SETI NO. 22 –
2022
JINA ……….………………………………….…………….……….. MKONDO
………………..
1. SEHEMU A: CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI
i) Bendera ya Tanzania ina rangi …… A: nne B: tatu C: tano [ ]
ii) Wimbo wa Taifa una beti ………… A: mbili B: tatu c nne [ ]
iii) Rais wa kwanza wa Tanzania aliitwa …………..
A: Julius K. Nyerere B: Abeid Amani Karume C: Jakaya Kikwete [ ]
iv) Kufundisha watoto tabia njema na nzuri ni jukumu la ……………….
A: Mwalimu B: Jamii yote C: Mzazi [ ]
v) Kuapta elimu,, kulindwa, kupendwa hizi ni …… A: Wajibu B: Haki C: Sheria [ ]
vi) Tanganyika ilipata uhuru mwaka ……… A: 1965 B: 1961 C: 2000 [ ]
vii) …………… ni uwezo alionao mtu unaomwezesha kufanya jambo fulani
A: Mwenge B: Utamaduni C: Kipaji [ ]
viii) Kuna aina ……………….. za fedha A: moja B: tatu C: Mbili [ ]
ix) Noti ya shilingi elfu kumi ina rangi … A: Njano B: Zambarau C Nyekundu [ ]
x) Tanganyika na Zanzibar ziliungana mwaka …… A: 1961 B: 1965 C: 1964 [ ]
2. OANISHA KIFUNGU A NA B ILI KUPATA MAANA KAMILI
FUNGU A FUNGU B
i) Mbuga za wanyama [ ] A: Maji yatokayo ardhini
ii) Kibwaya na njuga [ ] B: Ni kila kitu kinachotuzunguka
iii) Chemchem [ ] C: Uharibifu wa mazingira
iv) Mazingira [ ] D: Vivutio vilivyopo Tanzania
v) Kuchoma mkaa [ ] E: Vifaa vinavyotumika kucheza
3, SEHEMU C: ANDIKA NDIYO AU HAPANA:
HAPANA:
i) Uongo, ugomvi na udokozi ni tabia mbaya ……………………………
ii) Tanzania ni nchi ya furaha na amani ……………………………
iii) Kuwatenga watu wenye ulemavu ni haki ……………………………
iv) Nidhamu binafsi ni kufanya jambo kwa kujipangia mwenyewe ……………………………
v) Kuwahi shule, kuvaa sare za shule na kuhudhuria vipindi vyote ni sheria za shule
……………………………
4. SEHEMU D: JAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI:
WAZI:
i) Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanzania aliitwa ……………………………………………………
ii) Tanzania ni muungano wa nchi mbili ambazo ni …………………………………………. na
…………………………………………………………
iii) Waziri Mkuu wa Sasa wa nchi yetu ni …………………………………………………………
iv) Rais wa sasa wa Tanzania anaitwa …………………………………………………………
v) Mapinduzi ya Zanzibar yalifanyika mwaka …………………………………………..
MTIHANI WA MAANDALIZI YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI
SOMO LA MAARIFA YA JAMII KWA DARASA LA NNE (IV) – SETI NO. 22 –
2022
JINA ……….………………………………….…………….……….. MKONDO
………………...
11. CHAGUA HURUFI YA JIBU SAHIHI
i) Jumla ya viatu vyote vinavyomzunguka mwanadamu huitwa …………..
A: Mazingira B: Kitanda C Mvua D: Jua [ ]
ii) Jotoridi hupimwa kwa kifaa maalumu kiitwacho ……………..
A: rula B: Kipimajoto C: Moto D: Kipima mvua [ ]
iii) Mtoto wa mjomba unamwita ………
A: Shangazi B: Binamu C: Mama mdogo D: Dada [ ]
iv) Jambo mojawapo la kudumisha utamaduni wa Kitanzania ni kama vile ……………
A: Kuvuta bangi B: Kuimba nyimbo C: Kuiba mifugo D: Kuchunga mbuzi [ ]
v) Chanzo cha asili cha joto ni ………. A: Mvua B: Jua c: Mawingu D: Joto [ ]
vi) Ni vizuri kutunza rasilimali za familia na …………………… ili zilete maendeleo
A: nyumbani B: shule C: Mtaani D: Sokoni [ ]
vii) mfumo wa jua umeundwa na jumla ya sayari ……………..
A: mbili B: tano C: nane D: kumi [ ]
viii) ……………….ni mchoro wa kitu kinavyoonekana kikiwa mbele yako
A: Picha B: Ramani C: PIcha na ramani D: Mchoro [ ]
ix) Tanganyika ilipata uhuru wake mwaka ….
A: 1964 B: 2017 C: 1961 C: 1962 [ ]
2. SEHEMU B: JAZA NAFASI ILIYOACHWA WAZI
i) Rais wa awamu ya kwanza aliitwa ……………………………………………..
ii) Tanganyika iliungana na Zanzibar mwaka ……………………………………
iii) Viongozi wa familia ni …………………………….. na ……………………………….
iv) Bao ni mchezo w asili ambao huchezwa na jamii za watu wa …………………………
v) …………………………………….. hualimiana kwa kubusiana mikono
vi) …………………………. ni kiongozi mkuu wa serikali
3. SEHEMU C: ANDIKA "NDIYO" KWA SENTENSI ILIYO SAHIHI NA "HAPANA" KWA
SENTENSI ISIYO SAHIHI
i) Mvua husaidia kukuza mazao …………………………………………….
ii) Fagio na jembe ni vifaa vinavyotumiia katika utunzaji wa mazingira ………………….
iii) Mifugo na ardhi ni rasilimali …………………………………
iv) Nyota na mwezi huonekana wakati wa mchana …………………………………..
v) Sweta, mgolole, jaketi ni mavazi yanayovaliwa wakati wa baridi ………………………
4. SEHEMU D: CHORA NA JAZA JINA LA RAMANI ILIYOCHORWA:
i) Chora ramani ya meza ii) Chora picha ya kiti
iii) Hii ni alama ya ………………. iv) Hii ni alama ya ……..………….
v) Hii ni alama ya ……………………
MTIHANI WA MAANDALIZI YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI
SOMO LA KISWAHILI KWA DARASA LA NNE (IV) – SETI NO. 21 – 2022
JINA ……….………………………………….…………….……….. MKONDO
………………..
1 IMLA:
IMLA:
i) ………………………………………………………………………………….
ii) ………………………………………………………………………………….
iii) ………………………………………………………………………………….
iv) ………………………………………………………………………………….
v) ………………………………………………………………………………….
2. SEHEMU B: CHAGUA JIBU SAHIHI
i) Dada wa baba yako ni ……..A: Mjomba B: Babu C: Binamu D Shangazi [ ]
ii) ……………… huundwa na konsonanti na irabu
A: Neno B: Silabi C: Habari D: Sentensi [ ]
iii) Mtoto wa mwisho kuzaliwa anaitwa ………
A: Mziwanda B: Yatima C: Kifungua mimba D: binamu [ ]
iv) ……………ni ripoti kuhusu tukio lililotokea
A: Taarifa B: Matunda C: Maembe D: Habari [ ]
v) ………………..ni siku inayofuata baada ya Jumatatu
A: Ijumaa B: Jumatano C: Jumanne D: Jumamosi [ ]
3. SEHEMU C: METHALI, NAHAU NA VITENDAWILI:
VITENDAWILI:
i) Toa maana ya nahau hii "Amekula chumvi nyingi" ………………………………………………..
ii) Tegua kitendawili kisemacho kila niendapo ananifuata ………………………………………….
iii) Malizia methali hii "Asiyefunzwa na mamaye ………………………………………………………"
iv) Toa maana ya nahau isemayo: "Mezea mate" ………………………………………………………
v) Tegua kitendawili hiki "Bwana afya wa porini" …………………………………………………….
4. SEHEMU D: ANDIKA UMOJA AU WINGI WA MANENO YAFUATAYO:
UMOJA WINGI
i) Chama ……………………………
ii) ……………………… vyumba
iii) Chungwa ……………………………
iv) Sahani ……………………………
v) ………………………. Chaki
5. SEHEMU E: UFAHAMU: Soma habari ifuatayo kisha jibu maswali yanayofuata
Hapo zamani za kale palikuwepo Sungura na Fisi. Walipendana sana kwani walisaidiana
katika kila jambo kwa dhidi na faraja. Kwa kuwa wahenga walisema akufaaye kwa dhiki ndiye
rafiki.
Urafiki wao ulidumu hadi katika familia zao zilijua kwani walisaidia kwa kupeana chakula,
vitu vya shule na hela?
MASWALI:
MASWALI:
i) Habari hii inahusu nini? ……………………………………………………………
ii) NI vitu gani marafiki hawa walisaidiana? …………………………………………………………….
iii) Ni methali ipi imetumika katika habari hii? …………………………………………………………..
iv) Taja majina ya wahusika katika habari hii …………………………………………………………….
v) Neno "familia" lina silabi ngapi? …………………………………………………………………
MWONGOZO PRIMARY SCHOOL
TERMINAL ENGLISH EXAMINATION FOR STANDRD FOUR (IV) –
No.21 – 2022
NAME ……….………………………………….…………….……….. STREAM
………………..
1: SECTION A: DICTATION:
DICTATION: Listen carefully to the sentences read by ateacher and write them
in the blank spaces provided
i. ……………………………………………………………………………………….
ii. ………………………………………………………………………………………..
iii. ……………………………………………………………………………………….
iv. ………………………………………………………………………………………..
v. ………………………………………………………………………………………..
2: SECTION B: CHOOSE THE CORRECT ANSWER:
ANSWER:
i. She works in the hospital ………………. A: Doctor B: Watchmana C: Tailor [ ]
ii. Number thirty six in numeral A: 38 B: 36 C: 33 [ ]
iii. The opposite of good is …….. A: smart B: full C: bad [ ]
iv. This is ……………… apple A: a B: are C: an [ ]
v. Father is ………… but Juma is short A: big B: fat C: tall [
]
3. SECTION C: CHOOSE THE CORRECT ANSWER FROM THE BOX
Vegetable, Sun, Aunt, Carpenter, Fruits, Knife
i. It is a source of light ……………………………………………..
ii. A person how makes chairs, desks and tables ………………………………………….
iii. Cabbage, spinach, Chainess, Carrots, …………………………………………………
iv. A sister of your father is ………………………………………..
v. Banana, orange, mango, watermelon ………………………………………
4. SECTION D: WRITE THE FOOLOWING NUMBERS IN WORDS
i 265 ……………………………………………………………………………….
ii 500 ……………………………………………………………………………….
iii. 771 ……………………………………………………………………………….
WRITE THE FOLLOWING NUMBERS IN NUMERALS
iv. Six hundred and forty three…………………………….
v. Five hundred and eighty nine……………………………….
5. SECTION E: COMPREHENSION:
COMPREHENSION: Red the following passage below and tanswer the
questions that follow:
follow:
Tunu lives with her parents. On a school day, Tunu wakes up early in the morning. She
brushes her teetch, she puts on her school uniform. She eats breakfast and goes to school.
After school, she returns home. She does her homework in the evening she eats dinner and
goes to bed
Questions:
Questions:
i. Tunu wakes up ………………………….in the morning
ii. She lives with her ……………………………………………..
iii. She does her ……………………….. in the evening
iv. She ………………………… dinner
v. After dinner she ………………………… to bed.
MTIHANI WA MAANDALIZI YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI
SOMO LA HISABATI KWA DARASA LA NNE (IV) – 2022 SETI
NA. 22
JINA: ………………………………………............
……………………………………………………. MKONDO: …………….…
JIBU MASWALI YOTE
NAFASI YA KUFANYIA
NA. SWALI JIBU
KAZI
1. (i) Andika kwa tarakimu: elfu ishirini na
mia tatu tisini nne na sita?
(ii) Anna aliambiwa na mwalimu wake
wa Hisabati aandike 41060 kwa
maneno. Ataandikaje?
(iii) Ni tarakimu gani iliyo katika thamani
ya maelfu katika 80419?
(iv) Nini tofauti kati ya thamani ya jumla
ya 5 na 9 mwaka wa 1509.
(v) Fafanua namba ifuatayo: "66702"
2. (i) Baba yake Aisha ana magari arobaini
na tano. Andika idadi hiyo ya magari
kwa Kirumi?
(ii) Unapopanga namba zifuatazo kwa
mpangilio wa kupanda kutoka ndogo
kwenda kubwa, namba ya tatu
itakuwa nini?
7127, 1853,2667,6776,6738 na 1294
(iii) Ni namba gani inayofuata katika
muundo ulio hapa chini?
13, 14, 16, 19, 23, _______
(iv) Ni namba ipi ni ndogo zaidi ambayo
ipo katika tarakimu zifuatazo
“85346”
(v) Katika mfuatano ulio hapa chini
andika nambari ya saba.
15, 19, 23, 27, 31,
3 (i) Kiwanda kilizalisha mabati 84795
mwezi Januari na kisha kuzalisha
12500 mwezi Februari. Ni mabati
mangapi yaliyozalishwa katika miezi
miwili?
(ii) Wakati wa siku ya wazazi mwalimu
mkuu alinunua kreti 912 za soda,
kulikuwa na chupa 24 katika kila
kreti. Alinunua chupa ngapi za soda?
(iii) Je, nitapunguza ngapi kutoka mia
moja thelathini na tano ili kupata
tisini na nne?
(iv) Wanafunzi wa darasa la sita
walinunua biskuti 8 kwa kila mmoja.
Walinunua biskuti ngapi kwa Jumla
ikiwa darasa la sita lina wanafunzi
40?
(v) Nini jumla ya
2345 na 65789?
4. (i) Mwezi wa k umi na mbili shule
hufungwa kwa ajili ya likizo. Andika
jina la mwezi huo ………….
(ii) Fundi seremala hutengeneza meza
4 kwa siku. Atatengeneza meza
ngapi kwa siku 31.
(iii) Ali alitembea kutoka darasani hadi
ofisi ya walimu kwa sekunde 60. Je
sekunde hizo ni dakika ngapi?
(iv) Ikiwa darasa lina upande wa sm 18
na urefu wa sm 24, tafuta mzingo wa
darasa hilo
(v) Umbo lifuatalo linaitwaje?
Jedwali hapa chini linaonyesha idadi ya watu ambao walipimwa afya zao katika kituo fulani cha afyakatika
miaka ilioonyeshwa
Mwaka Idadi ya Walioapimwa
2017 792
2018 4653
2019 7561
2020 4653
2021 9000
5. (i) Ni katika miaka gani idadi ya watu
waliopimwa VVU ilikuwa sawa?
(ii) Toa tofauti kati ya idadi ya watu
waliojaribiwa 2018 na 2020
(iii) Ni mwaka gani kulikuwa idadi ndogo
zaidi ya watu waliopimwa VVU?
(iv) Andika jumla ya watu waliopimwa
katika miaka ya 2021 na 2017
(v) Katika mwaka gani kulikuwa na idadi
ya juu zaidi ya watu waliopimwa
VVU?
MAJIBU YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA SETI NA. 22 2022
1 (i) B (ii) B (iii) C (iv) C (v) C (vi) C (vii) C (viii) B (ix) B
2 (i) TATU (ii) TATU (iii) GRAMU (iv) PROTINI (v) MATATU
3 (i) C (ii) E (iii) A (iv) B (v) D
4. (i) NDIYO (ii) HAPANA (iii) NDIYO (iv) HAPANA (v) HAPANA
MAJIBU YA URAIA NA MAADILI SETI NA 22 2022
1 (i) A (ii) A (iii) B (iv) B (v) B
(vi) B (vii) C (viii) C (ix) C (x) C
2. (i) D (ii) E (iii) A (iv) B (v) c
3. (i) NDIYO (ii) NDIYO (iii) HAPANA (iv) NDIYO (v) NDIYO
4. (i) RASHID MFAUME KAWAWA (ii) TANGANYIKA NA ZANZIBAR
(iii) KASSIM MAJALIWA (iv) SAMIA SULUHU HASSAN
(iv) 1963
MAJIBU YA MAARIFA YA JAMII SETI NA. 22 2022
1. (i) A (ii) B (iii) B (iv) B (v) B (vi) B (vii) C (viii) A (ix) C
2. (i) JULIUS K. NYERERE (ii) 1964 (iii) BABA NA MAMA
(iv) PWANI (v) WAHEHE (vi) RAIS
3. (i) NDIYO (ii) NDIYO (iii) NDIYO (iv) HAPANA (v) NDIYO
4. (i) (ii) (iii) KANISA (iv) MSIKITI (v) DARAJA
MAJIBU YA KISWAHILI SETI NO. 22 2022
1) IMLA:
(i) Mangwea anaishi Dododma
(ii) Nyang’au amewindwa
(iv) Mbu ni adui kwetu
(v) Machweo hutokea asubuhi
2) (i) D (ii) A (iii) A (iv) A (v) C
3) (i) AMEISHI MIAKA MINGI (ii) KIVULI
(iii) HUFUNZWA NA ULIMWENGU (iv) TAMANI (v) FISI
4) (i) VYAMA (ii) CHUMBA (iii) MACHUNGWA
(iv) SAHANI (v) CHAKI
5. (i) URAFIKI WA SUNGURA NA FISI (ii) WALISAIDIA KWA KILA KITU
(iii) AKUFAAYE KWA DHIKI NDIYE RAFIKI
(iv) SUNGURA NA FISI (v) NNE
MAJIBU YA ENGLISH DARASA LA NNE SETI NA. 22 2022
1) DICTATION:
(i) I AM A PUPIL (ii) OUR TEACHER IS JOHN
(iii) SHE COOKED FOOD (iv) A CALF IS PLAYING
(iv) WE ARE IN CLASS FOUR
2) (i) A (ii) B (iii) C (iii) C (iv) C
3) (i) SUN (ii) CARPENTER (iii) VEGETABLES
(iv) AUNT (v) FRUITS
4) (i) TWO HUNDRED AND SIXTY FIVE (ii) FIVE HUNDRED
(iii) SEVEN HUNDRED AND SEVENTY ONE (iv) 643 (v) 589
5) (i) EARLY (ii) PARENTS (iii) HOMEWORK
(iv) EATS (v) GOES
MAJIBU YA HISABATI DARASA LA NNE SETI NA. 22 2022
1. (i) 20,396 (ii) Arobaini na moja elfu na sitini
(ii) 0 (iv) 509
(v) 60000 + 6000 + 700 + 0 + 2
2. (i) XLV (ii) 1294, 1853, 2667, 6738, 6776, 7127
(ii) 28 (iv) 3 (v) 39
3. (i) 97,295 (ii) 21,888 (iii) 49
(iv) 320 (v) 68,134
4. (i) Desemba (ii) 124 (iii) 1 (moja)
(iv) sm 84 (v) Pembetatu
5. (i) 2018 na 2020 (ii) 0 (sifuri) (iii) 2017
(iv) 9792 (v) 2021