Jina la Mwanafunzi …………………………………………………..
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA
MTIHANI WA ROBO MUHULA WA PILI
HISTORIA NA MAADILI YA TANZANIA- DARASA LA III AGOSTI, 2024
1. Chagua herufi ya jibu sahihi
[i] Nini maana ya historia ya Historia ya Tanzania
[a] matukio ya sasa b] Matukio yaliyo wahi kutokea Tanzania [c] watu wa zamani [d] michoro ya
mapangoni
ii. vifuatavyo ni vitendo vya kimaadili isipokuwa tendo moja ambalo ni_______________
[a] kusaidia wazee [b]kusalimiana [c] kuheshimu watu wazima [d]kupigana
iii. Historia ya Tanzania imegawanyika katika nyakati tatu tofauti ambazo ni___________
[a] kabla ya ukoloni, wakati wa ukoloni na baada ya ukoloni
[b] wakati wa uhuru, baada ya uhuru na sasa [c]wakati wa ukoloni,baada ya uhuru na sasa
[d] wakati wa ukoloni na sasa
[iv] Maadili ni_____unaotambulika katika jamii
[a] mwenendo na utendaji [b] michezo [c] maigizo [d] uongozi
2. Bainisha wajibu na haki katika jedwali lifuatalo kwa kuweka alama ya vema sehemu
inayo stahili
Haki Wajibu
[i] kupendwa
[ii] kusoma kwa bidii
[iii] kucheza
[iv] kutii sharia za shule
[v] kupatiwa jina zuri
3.Tumia maneno yafuatayo kujaza nafasi zilizoachwa wazi kwa kuchagua herufi ya jibu
sahihi katika kisanduku
[A] Kuheshimu wengine [B] Kutii sharia [C] Kujitathimini [D] Kuwajali wengine [E] Kujituma
[F] Kujiajiri
[i] kupiga mswaki____________
[ii] Kufanya kazi bila kusimamiwa ______________
[iii] Kuogesha wadogo zetu_________________
[iv] Kuwahi shule_________________
[v] kuwasaidia wazee na wasiyojiweza _______________
Jina la Mwanafunzi …………………………………………………..
4. OANISHA ORODHA A NA B ILIKUPATA MAANA ILIYOKUSUDIWA
ORODHA A ORODHA B
[i] Maeneo ya mabwawa, mito na bahari [a] Wazee watoto na wagonjwa
[ii] Maarifa na ujuzi wa asili katika ufugaji [b] Uvivu
[iii] Maarifa na ujuzi wa asili uliotumiwa [c] Miiko
kutunza mazingira
[iv] Watu walio ruhusiwa kukaa bila [d] Majani, magome ya miti, na mizizi
kufanya kazi
[v] Vitu walivyotumia watu wa zamani [e] Dawa za kisasa
kutengeneza dawa
[f] Matunda
5. Andika NDIYO kwa sentensi sahihi na HAPANA kwa sentensi isiyo sahihi
[i] Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulifanyika tarehe 26 April 1964 _______
[ii] Zamani maarifa na ujuzi wa asili ulirithishwa kwa njia ya Nadharia na Vitendo ________
[iii] Mlima mrefu kuliko yote barani Afrika ambao ni urithi wetu wa asili unaitwa
KILIMANJARO____
[iv] Fuvu la binadamu anayeaminika kuishi miaka mingi Zaidi,liligunduliwa na Dr Luis Leaker
mwaka 1959 katika bonde la Oduvai ______________
[v] Ziwa Tanganyika ni urithi wa asili unaopatikana hapa Tanzania ambalo ni Ziwa lenye
kina kirefu zaidi _______________
Jina la Mwanafunzi …………………………………………………..
MAJIBU YA HISTORIA
1. i) B
ii) D
iii) A
iv) A
v) C
2. i) Haki
ii) wajibu
iii) Haki
iv) wajibu
v) Haki
3. i) C
ii) E
iii) A
iv) B
v) D
4. i) B
ii) F
iii) C
iv) A
v) D
5. (i) NDIYO
ii) NDIYO
iii) NDIYO
iv) NDIYO
v) HAPANA