0% found this document useful (0 votes)
80 views3 pages

Kiswahili Inclass Test Faculty of Law

Uploaded by

Jay
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd
0% found this document useful (0 votes)
80 views3 pages

Kiswahili Inclass Test Faculty of Law

Uploaded by

Jay
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd
You are on page 1/ 3

KISWAHILI IN-CLASS TEST/

JARIBIO LA DARASANI

Instructions/ Maelekezo:
1. Answer all questions/ Jibu maswali yote
1. Negate the following sentences in Kiswahili/ Kanusha sentensi zifuatazo kwa Kiswahili [10
Marks/ Alama 10]
For example/ kwa mfano;
a) Tarisai is going to the field
Answer: Tarisai haendi shambani

b) I like reading Kiswahili.


c) I also like studying Kiswahili.
d) The lecturer is writing word categories.
e) The student came on Monday.
f) He/She stays at the University of Zimbabwe.
g) The two children come from Masvingo.
h) His/her mother cooks Sadza every day.
i) You like Sadza very much.
j) His/her head is aching.
k) Today my friend is writing a Kiswahili test.

2. Answer the following questions using the appropriate word/ Jibu maswali yafuatayo kwa
kuchagua neno sahihi [10 Marks/ Alama 10]
mazuri; mzuri; mzuuri; muazuri; Chia Kikuu chama Zimbabwe; Chuoo Kiku cha Zimbabwe, Chuo
Kikuu cha Zimbabwe; anaisha; anaishiya; anaishi, anayishi; chaakula; makula; zvakula; chakula; ra;
za; ya; la; setu; yedu; ketu; yetu; mikono; kiuno; miguu; Wezimbabwe; Waazimbabwe;Wazimbabwe;
Zimbabweans; jiono, jiino; jioni; mashariki, mashriki, masaraki.

a) Neema ni mwanafunzi wa………


b) Yeye ni msichana……..
c) Rafiki yake anaitwa Amina ……. Harare.
d) Wanafunzi wa Kiswahili wanakula….. cha machana.
e) Jino….. Juma linauma.
f) Sisi tunasoma Kiswahili katika shule …… nzuri.
g) Walimu wanatembea na …….
h) Watu wanaotoka nchi ya Zimbabwe ni……
i) Habari za …… wanafunzi.
j) Kiswahili ni lugha ya Afrika……

3. Andika saa zifuatazo kwa Kiswahili ama Kiingereza/ Write the following time in Kiswahili
or English [10 Marks/ Alama 10]
a) 00:02 …………..
b) 09:20pm………..
c) Saa mbili na nusu asubuhi….
d) Saa sita mchana…………….
e) 11:33am…………………….
f) 07:42pm……………………
g) Saa kumi na robo mchana….
h) Saa kumi na moja kasoro robo….
i) 21:15…………………………….
j) 23:05…………………………….

4. In not less than 10 sentences introduce your family in Kiswahili/ Kwa sentensi zaidi ya
kumi itambulishe familia yako kwa Kiswahili [10 Marks/ Alama 10].

5. Tafsiri sentensi zifuatazo/ Translate the following sentences [10 Marks/ Alama 10].

a) Habari gani.
b) Unaenda shuleni leo?
c) Kesho ni alhamisi.
d) Mwanafunzi alichomwa sindano.
e) Msichana mfupi ana kucha.
f) Walimu wetu wa Kiswahili ni wazuri sana.
g) Ninapenda kula matunda.
h) Jana tulienda kumwona daktari.
i) Kesho kutwa tutacheza mpira.
j) Uhali gani rafiki yangu.

6. Andika namba zifuatazo kwa Kiingereza ama Kiswahili/ Write the following numbers in
Kiswahili or English [10 Marks Alama 10].

a. Elfu moja mia tisa tisini na moja.


b. Mia mbili ishirini na sita
c. 2014
d. Elfu moja mia saba sitini na 4
e. 1980
f. 190 824
g. 16 000

Mwisho wa Jaribio/ End of In-class Test

You might also like