New Apostolic Church East Africa
Joseph O. Ekhuya
To all Church Ministers
New Apostolic Church
Kenya, Uganda, Tanzania, South Sudan
27th May 2025
Dear brothers & sisters,
RE: PENTECOST DIVINE SERVICE 2025
The Chief Apostle of New Apostolic Church Jean-Luc Schneider will conduct the
Pentecost 2025 divine service from Wiesbaden (Germany) on Sunday 8th June 2025.
All congregation rectors are requested to make arrangements for members to attend
the divine service via television at their local congregation starting from 11:00am East
Africa Time.
HYMNS ENGLISH SWAHILI
Opening Hymn 207 Leaflet
Hymn for call-ups 58 17
Hymn of Repentance 274 82
Hymn for Holy Communion 1 400 128
Hymn for Holy Communion 2 345 111
The Divine service will be transmitted live by K24 and East Africa TV stations starting
from 11:00hrs. Our YouTube channel will also transmit the divine service.
Bible Verse: John 16: 13 “However, when He, the Spirit of truth, has come, He
will guide you into all truth.”
Bible reading: Acts of the Apostles 2: 1-8 and 12-13
Wishing you the blessings of Pentecost.
Hearty greetings
Joseph Opemba Ekhuya
District Apostle
DAA21(East Africa)
cc: all admin offices
Administration Office
Domicile: South ‘C’ Complex Telephone: +254 724 600 378 Post: New Apostolic Church East Africa
Off Muhoho Road +254 202 415 476 PO Box 59041-00200
Mugoya Estate +254 202 415 472 Nairobi
South ‘C’, Nairobi Email: admin @ nac-ea.org KENYA
New Apostolic Church East Africa
Joseph O. Ekhuya
Kwa Watumishi wote wa Kanisa
Kanisa Jipya la Kimitume
Kenya, Uganda, Tanzania, Sudan Kusini
27, May 2025
Ndugu wapendwa,
KUH: IBADA TAKATIFU YA PENTEKOSTE 2025
Mtume Mkuu wa Kanisa Jipya la Kimitume Jean-Luc Schneider ataongoza ibada ya Pentekoste
2025 kutoka Wiesbaden (Ujerumani) Jumapili tarehe 8 Juni 2025.
Makasisi wote wa makusanyiko wanaombwa kufanya mipango ili waumini wahudhurie ibada
hiyo takatifu kupitia televisheni kwenye makusanyiko yao kuanzia saa tano asubuhi masaa za
Afrika Mashariki.
NYIMBO KINGEREZA KISWAHILI
Wimbo wa Kufungua Ibada 207 Kijikaratasi
Wimbo wa Kuita 58 17
Wimbo wa Toba 274 82
Wimbo wa Ushirika Mtakatifu 1 400 128
Wimbo wa Ushirika Mtakatifu 2 345 111
Ibada takatifu itapeperushwa moja kwa moja na vituo vya televisheni vya K24 na East Africa
TV kuanzia Saa tano za mchana. Kituo chetu cha YouTube pia kitapeperusha Ibada hiyo
takatifu.
Mstari wa Biblia: Yohana 16:13 "Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza
awatie kwenye kweli yote."
Somo la Biblia: Matendo ya Mitume 2:1-8 na 12-13
Nawatakia baraka ya Pentekoste.
Salamu za dhati
Joseph Opemba Ekhuya
District Apostle
DAA21(East Africa)
cc: all admin offices
Administration Office
Domicile: South ‘C’ Complex Telephone: +254 724 600 378 Post: New Apostolic Church East Africa
Off Muhoho Road +254 202 415 476 PO Box 59041-00200
Mugoya Estate +254 202 415 472 Nairobi
South ‘C’, Nairobi Email: admin @ nac-ea.org KENYA